Category: Habari Mpya
Urusi balaa
*Yaendeleza ubabe Ukraine mataifa yakishuhudia *Putin atishia kutumia silaa za nyuklia, aonya vikwazo *Majeshi yake yadhibiti mtambo muhimu wa nyuklia Ukraine *Waharibu mitambo kitengo cha ujasusi, maghala ya silaha Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Urusi ni balaa. Ni maneno…
RIPOTI MAALUMU Majangili wabuni mbinu mpya
*Wavutiwa na idadi kubwa ya wajane kando ya Hifadhi ya Serengeti *Wawatumia wajane hao, ‘nyumbantobhu’ kuhifadhi nyara, zana *Mjane ahoji; ‘kiherehere cha nini ilhali bwana wangu haibi mali ya mtu ila nyara za Serikali?’ Mara Na Antony Mayunga Wakati serikali…
Kilio cha Rais Sambi kuachiwa charindima
NA MWANDISHI WETU Mwakilishi wa Umoja wa Afrika (AU) nchini Comoro ameingilia kati mgogoro wa kuwekwa kizuizini kwa Rais mstaafu wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi. Mwakilishi huyo, Hawa Youssouf, amemtembelea Rais mstaafu Sambi kizuizini alikowekwa kwa amri…
Vitalu vya uwindaji yale yale
DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Ugawaji wa Vitalu vya Uwindaji wa Kitalii kwa njia ya kielektroniki umelalamikiwa na sasa baadhi ya wadau wenye tasnia hiyo wameshauri mnada urejewe. Wanasema kurejewa huko si tu kwamba kutakuwa ni kuwatendea haki waombaji…
Rais Samia, kuachiwa Mbowe na Urusi
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita ilikuwa na matukio mengi, ila nitayagusia makubwa machache. Kwanza nianze la kesho Jumatano, Machi 9, 2022 ambapo Jukwaa la Wahariri Tanzania litakuwa linafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 2022. Huu mkutano utahusisha wahariri zaidi ya…
Tunakaribia kumtua mzigo Samatta
Dar es Salaam NA MWANDISHI WETU Kelvin John ajiandae kuubeba mzigo mzito wa kaka yake Mbwana Samatta katika soka la Tanzania. Ajiandae na maneno magumu ya Watanzania yatakapokuwa yanapenya kwenye ngoma za masikio yake. Ajiandae kuambiwa anacheza kwa kujisikia. Ajiandae…