JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali itaendelea kushirikiana na shule binafsi – Biteko

*Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu *Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania na Miongozo Iliyowekwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na…

Waziri Jafo ahamasisha taasisi kupanda miti

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Selemani Jafo akimnawisha Mkuu wa Kanda ya Kaskazini TBC Bi.Anna Kwambaza baada ya kupanda mti wakati wa zoezi lla upandaji wamiti ililofanyika katika ofisi za Redio Jamii za…

Brigedia Feruzi awashauri wahitimu kidato cha sita Ruhuwiko kuzingatia kuitumia vema elimu waliyoipata

Na Cresensia kapinga, JamhuriMedia, Songea Brigedia Jenerali Charles Peter Feruzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Kanda ya kusini amewataka wahitimu wa kidato cha sita wa shule ya Sekondari ya Ruhuwiko Manispaa ya Songea inayomilikiwa na JWTZ kuzingatia elimu…

Diwani Mstaafu Wembe, askari mgambo mbaroni kwa kumdhalilisha Dk Kawambwa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani JESHI la Polisi Mkoani Pwani,limewakamata Diwani wa kata ya Kiromo Mstaafu Hassan Wembe na Askari Mgambo Abdallah Mgeni na baadae kupewa dhamana, kwa kosa la kumshambulia kwa maneno makali, vitisho, dharau na kutishiwa kufungwa pingu…

TANROADS yaendelea na ujenzi wa miundombinu ya barabara Gongolamboto Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imehakikisha utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka; barabara ya Nyerere hadi Gongo la mboto unaendelea huku barabara ya kawaida ikiendelea kupitika hata katika kipindi hiki…