Category: Habari Mpya
Benki yadaiwa kugeuka mumiani
*Yajipanga kuipiga mnada ‘nyumba ya Serikali’ *Ni kinyume cha vipengele vilivyowekwa kisheria *Mfanyabiashara adai mkopo wageuzwa ndoana DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nyumba iliyokuwa ikimilikiwa na serikali imo hatarini kupigwa mnada kwa kile kinachodaiwa kuwa mmiliki wake kushindwa kulipa…
Wanaharakati Afrika wakutana Dakar kuizungumzia Palestina
Na Nizar K Visram (Canada) Machi 10 hadi 12, mwaka huu wanaharakati kutoka nchi za Afrika wamekutana Dakar, Senegal. Hawa ni wawakilishi wa makundi kutoka Botswana, Cameroon, Cote d’Ivoire, DR Congo, Gambia, Ghana, Guinea-Bissau, Mauritania, Morocco, Msumbiji, Namibia, Tunisia, Zambia,…
Magufuli: Kiongozi mpenda maendeleo makubwa
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Mwaka 1995 Dk. John Pombe Magufuli aliamua kuingia katika duru za siasa na kugombea ubunge Jimbo la Biharamulo Mashariki mkoani Kagera. Agosti 23, 1995, Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilitangaza majina…
Serikali, TFS kuzibadili nyanda kame
*Profesa Silayo apania kurejesha uoto wa asili Kanda ya Ziwa, huku akiifanya Dodoma kuwa ya kijani MAGU Na Joe Beda Wakala wa Huduma za Misitu nchini (TFS) umedhamiria kurejesha uoto katika maeneo ya nyanda kame (dry land areas) nchini, ikiwa…
Rais apokee hizi sifa kwa hadhari
Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa ziarani mkoani Mara hivi karibuni, miongoni mwa mambo aliyozungumza kwa mkazo ni suala la sifa anazomiminiwa. Kwa maneno yake mwenyewe alisema hapendi kusifiwa yeye binafsi, bali sifa hizo ziende kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho…
Ewura ilivyojipanga kutatua kero huduma ya maji 2025
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita Tanzania iliungana na dunia kuadhimisha Wiki ya Maji ambapo maadhimisho hayo yalifanyika Mkoa wa Pwani kwa uzinduzi wa mradi wa maji Mlandizi – Mboga – Chalinze huko Msoga na baadaye kitaifa Dar…