Category: Habari Mpya
UJUMBE WA KWARESMA – (5) Papa Francis na ‘uongofu wa mazingira’
Jumapili ya wiki hii ni Sikukuu ya Kufufuka kwa Bwana Yesu Kristo; yaani Pasaka. Kwa maana hiyo leo tunawaletea sehemu ya mwisho ya mfululizo wa Ujumbe wa Kwaresma kwa mwaka 2022 kama ulivyoandaliwa na Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC). SURA…
Laylatul Qadri ni siku bora katika Uislamu
Jumanne ya leo Aprili 12, 2022 ni siku ya kumi tangu kuanza kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunamuomba Allaah Mtukufu Azikubali Swaumu zetu. Makala yetu leo inakusudia kuiangazia siku ndani ya Mwezi wa Ramadhani iitwayo ‘Laylatul Qadri’ (Usiku wa Cheo)…
Katiba thabiti huleta ustawi, furaha ya kweli
MOROGORO Na Everest Mnyele Tumekwisha kuzungumzia kwa ujumla nini maana ya katiba thabiti na inapaswa kuwa vipi. Leo tutazame umuhimu wake kwa uchumi, ustawi na furaha ya kweli kwa wananchi; furaha (ya kweli) ikiwa ndicho kipimo cha juu kabisa cha…
Utaratibu kununua ardhi ambayo haijasajiliwa
Na Bashir Yakub 1. Mjue mtu anayekuuzia. Na hapa unapaswa kujitahidi kumjua sana, wanasema kumchimba. Unaweza kumjua kwa kuuliza majirani, kupitia aliyekutambulisha kwake na namna nyingine yoyote itakayokuwezesha kumjua zaidi. Lakini pia hakikisha unajua makazi yake. 2. Onyeshwa ardhi na…
Sensa kufanyika kidijitali
Zanzibar Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan amezindua nembo na tarehe ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022. Uzinduzi huo ulifanyika Aprili 8, mwaka huu katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar ambapo Rais alitangaza kuwa…
TCD, kikosi kazi wapewa jukumu zito
Dodoma Na Mwandishi Wetu Kikosi kazi cha kukusanya maoni ya marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa na ile ya uchaguzi, kimetakiwa kukusanya maoni na mapendekezo ambayo hayataibua maswali kwa serikali wakati wa kuyapitisha. Agizo hilo limetolewa na Rais Samia…