JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Umuhimu demokrasia vyama vingi kwa maendeleo ya taifa

MOROGORO Na Everest Mnyele Mfumo wa siasa wa demokrasia ya vyama vingi ni mfumo uliozoeleka kwa nchi za Magharibi hata kabla ya kuja kututawala. Kwetu Waafrika, mfumo huu ulikuwapo tangu siku nyingi ukijulikana kama koo, makabila n.k. kwa kila moja…

MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA… MOI yajivunia upasuaji  wa ubongo bila kufungua fuvu

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Kwa kipindi cha cha mwaka mmoja Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) imefanikiwa kuwafanyia upasuaji wagonjwa 165 wa ubongo bila kupasua fuvu la kichwa. Mafanikio hayo yamefikiwa baada ya Serikali ya Awamu ya Sita…

Wataalamu wazawa JKCI wafanya maajabu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili inayopeleka damu kwa wakati mmoja kwenye…

Kuna mkono wa Kenya  mgogoro wa Loliondo

*Wakenya wajipenyeza hadi ndani ya CCM na kushinda udiwani wakati si raia *Maslahi binafsi yatawala, wafikia hatua ya kumkashifu Waziri Mkuu hadharani *Waamini wao ndio wenye turufu kuamua nani awe Waziri wa Maliasili Tanzania *Seneta wa Narok aishambulia Tanzania bungeni…

Wasabato wang’aka, wakataa porojo za ubadhirifu

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Baada ya Katibu Mkuu wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania, Jimbo Kuu la Kusini, Mchungaji Dk. Rabson Nkoko, kusema hakuna mgogoro wowote wa fedha unaofukuta, washiriki wengine wameibuka na kumtaka ajitokeze tena hadharani kueleza…

Rekodi ugenini kikwazo Simba

Dar es Salaam Na Andrew Peter Rekodi ya Simba katika mechi za ugenini ni kikwazo pekee kwa mabingwa hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika kutimiza ndoto ya kucheza nusu fainali na hatimaye fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa…