Category: Habari Mpya
Rais Samia wekeza katika gesi
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa aya hizi: “Sitanii, ukurasa umekuwa finyu. Hili la miundombinu nitalidadavua zaidi wiki ijayo. Tunatumia wastani wa Sh trilioni 7 kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi kwa mwaka. Tunaweza kuachana na utumwa…
Yanga yasaka rekodi ya Simba kimyakimya
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Vinara wa Ligi Kuu, Yanga, wanaisaka kimyakimya rekodi iliyowekwa na Simba miaka 12 iliyopita ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu bila kufungwa. Rekodi hiyo ya Simba ipo hatarini kwa sasa wakati ambao Yanga wanaonekana…
Hofu Vita ya Tatu ya Dunia
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Ipo hofu ya kuzuka kwa vita ya tatu ya dunia, hali hiyo ikichochewa na matamshi ya Rais Joe Biden wa Marekani na matendo ya nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya dhidi ya Urusi, hasa…
Biashara bila hofu ya Urusi, Ukraine
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Watu wengi husita au hushindwa kuingia katika biashara wakitishwa na hatua zinazofahamika katika kuanzisha biashara husika, mbali na hofu iliyozuka kwa sasa ya vita kati ya Urusi na Ukraine. Hatua hizo ambazo ni sawa…
TIC yajitosa ‘uchumi’ wa gesi
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati mjadala kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta ya petroli na bidhaa mbalimbali ukitamalaki nchini, Kituo cha Uwekezaji (TIC) kinatarajia kushuhudia kujengwa kwa vituo 12 vya kubadilisha mifumo ya matumizi ya nishati katika magari….
Mchwa waliomulikwa ripoti ya CAG watafutiwe mwarobaini
Ripoti ya mwaka wa fedha wa 2020/2021 ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, imeibua madudu mengi katika maeneo ya kiutendaji serikalini. Mathalani kupitia ripoti hiyo iliyowasilishwa bungeni Aprili 12, 2022 imebainika kuwa mamlaka 24…