JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

MIAKA 58 YA MUUNGANO Kero za Muungano zinavyotatuliwa

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Nchi za Afrika zilianza kuvamiwa na kutawaliwa na mataifa makubwa ya Ulaya baada ya kumalizika kwa mkutano wa Berlin maarufu kwa jina la Kiingereza kama ‘Berlin Conference 1884/85’, uliokuwa na ajenda ya kugawana…

Utoro shuleni bado tatizo

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Msingi mkubwa wa maendeleo, pamoja na mambo mengine, ni elimu bora inayotolewa kwa wananchi. Hakuna nchi duniani iliyofanikiwa kupiga hatua kubwa kimaendeleo bila kuweka nguvu katika elimu, hasa elimu ya wote – ya awali. Elimu…

Flora agusa mamia kwa Fariji Initiatives

DAR ES SALAAM Na Christopher Msekena Miongoni mwa waimbaji wa Injili wenye mafanikio nchini ni Madam Flora ambaye kwa kupitia nyimbo zake amefanikiwa kubadilisha maisha ya wengi kupitia muziki. Baada ya kugusa mamilioni ya watu kupitia muziki sasa amekuja kivingine…

MSD ilivyoliwa

*Yaingia mikataba ya mabilioni ya fedha bila kufuata taratibu, Mkurugenzi atumbuliwa * Yalipa watumishi watatu posho ya kujikimu ya Sh milioni 215.99 kwenda China kununua mashine *Yailipa kampuni hewa ya Misri mabilioni ya fedha, wapotea bila kuleta dawa nchini *Yadaiwa kununua…

Hali inatisha Kanda ya Ziwa

*Mwaka mmoja wa uvuvi haramu watikisa uchumi, watishia kuliua Ziwa Victoria *Makokoro, nyavu hatari kutoka Uganda, Burundi vyaingizwa kwa fujo *Kidole cha lawama chaelekezwa kwa viongozi wa serikali ngazi ya vijiji *TAFIRI wakiri, watega nyavu kwa saa mbili ziwani na…

Rais Samia wekeza katika gesi

Na Deodatus Balile Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa aya hizi: “Sitanii, ukurasa umekuwa finyu. Hili la miundombinu nitalidadavua zaidi wiki ijayo. Tunatumia wastani wa Sh trilioni 7 kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi kwa mwaka. Tunaweza kuachana na utumwa…