Category: Habari Mpya
Dk Mwinyi ajumuika na wananchi katika maziko ya mke wa waziri wa kilimo Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia na Marehemu Fatma Sharif Juma Mke wa Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis…
TARURA : Paipu kalavati sambazwa kurudisha mawasiliano ya barabara Kilimanjaro
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) mkoa wa Kilimanjaro wamenunua na kusambaza paipu kalavati kwaajili ya kurudisha mawasiliano kwenye madaraja yaliyokatika wakati wa mafuriko kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Meneja wa TARURA mkoa wa Kilimanjaro Mhandisi Nicholas Francis…
Rais Dk Mwinyi ateta na Balozi wa Saudia Arabia nchini Tanzania Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein AliMwinyi ameihakikishia Serikali ya Saudi Arabia ushirikiano mzuri uliopo naSerikali ya Mapinduzi ya Zanzibar hasa kwenye miradi mbalimbali yaMaendeleo.Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmad Okeish na ujumbe…
Serikali kuanzisha taasisi mpya itakayotoa huduma za upasuaji wa ubongo na mishipa
Na WAF – Dar eas Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kuanzisha Taasisi mahususi ambayo itakuwa inashuhulikia masuala ya upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu ili iweze kuboresha zaidi huduma hizo za ubingwa kuitoa katika Taasisi ya Mifupa…