Category: Habari Mpya
MANUSURA MAUAJI YA KIMBARI: ‘Nimeshamsamehe aliyemuua mume wangu’
KIGALI, RWANDA Unapaswa kuwa na upendo ili upone; ndivyo anavyoamini mwanamke huyu ambaye si tu kwamba amekwisha kumsamehe mtu aliyemuua mumewe miaka 28 iliyopita, lakini pia amekubali kijana wake kumuoa binti wa aliyekuwa ‘mbaya wake’! Mwanamke huyu, Bernadette Mukakabera, amekuwa…
Marekani yatumia Bunge kumwengua Waziri Mkuu Pakistan
Na Nizar K Visram Imran Khan, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, ameondolewa madarakani baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye. Kura hiyo ilipigwa Aprili 9, mwaka huu baada ya mvutano mkali baina ya Chama…
UTAMU WA SIMBA, YANGA Mayele kutetema mbele ya Inonga?
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Mtetemo wa Mayele ndio ‘trendi’ ya jiji, mashabiki wa Yanga wanataka kuona, wale wa Simba hawataki. Hiki ndicho kitendawili kinachosubiri jibu Jumamosi hii wakati vinara wa Ligi Kuu watakapowakaribisha watani wao wa jadi, Simba,…
DARAJA LA WAMI: Alama nyingine ya kujivunia Tanzania
CHALINZE Na Mwandishi Wetu Miundombinu inatajwa kuwa na umuhimu mkubwa katika kuchochea maendeleo ya uchumi wa taifa, ikifananishwa na mishipa ya damu katika mwili wa binadamu. Barabara na madaraja ndiyo hasa vitu vinavyoyagusa moja kwa moja maisha ya mwananchi wa…
Bandari ya Tanga kuchochea uchumi mikoa ya kaskazini, nchi jirani
TANGA Na Mwandishi Wetu Bandari ya Tanga ni miongoni mwa bandari kongwe hapa nchini. Bandari ya Tanga ilianza kujengwa mwaka 1888 na kukamilika mwaka 1891 ikijulikana kwa jina la Marine Jetty. Bandari ya Tanga ni ya kwanza kutoa huduma Afrika…
Kiswahili, Kiingereza kama lugha za kufundishia
Ottawa, Canada Na Chambi Chachage Nilidhani makala niliyoandika kwa Balozi Togolani Mavura (#SikilizaTogolani) yenye kichwa cha habari ‘Kwa nini tutumie msuli ilhali njia rahisi ipo wazi kabisa?’ ingekuwa ya mwisho kuhusu mjadala wa Lugha Ya Kufundishia (LYK). Imani hiyo ilitokana…