JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

MOI kufuta ulemavu kwa watoto wenye vichwa vikubwa, mgongo wazi

*Wawaomba wadau kuchangia  Sh milioni 800 kwa mwaka kufanikisha DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) inatarajia kufuta tatizo la watoto wanaozaliwa na vichwa vikubwa na migongo wazi kwa kuwafanyia upasuaji wa kuwawekea vipandikizi. Akizungumzia tatizo…

Hapi, Waitara wanyukana

*Hapi: Hii ni vita, mimi mtoto  wa mjini wameshindwa kunizunguka  *Asema kelele ni nyingi kwa kuwa ameziba mirija ya wizi *Waitara: Siogopi kifo kiwe cha risasi au sumu, Wakurya si ‘maboya’ *Asema RC hana mamlaka ya kuvunja CDC, adai amefanya…

TEMESA katikati ya dimbwi la lawama

*Wananchi wadai kuna vivuko vinaendeshwa kama mali binafsi *Abiria walazimika kumsubiri mkatisha tiketi kwanza apeleke fedha benki  DAR, UKEREWE Na Waandishi Wetu Baadhi ya watumiaji wa Kivuko cha MV Ujenzi kinachotoa huduma kati ya Kisorya, Bunda na Ngoma wilayani Ukerewe,…

Simba inakaba hadi kivuli

Yanga dk 90 bila shuti golini Na Andrew Peter Dar es Salaam  Yanga imeweka rekodi mpya ikicheza dakika 90 bila kupiga shuti hata moja lililolenga goli wakati walipolazimishwa suluhu na watani wao Simba kwenye Uwanja wa Mkapa mwishoni mwa wiki….

Mubarak: Rais wa Misri aliyetorosha mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Umoja wa Ulaya (EU) imeamuru mali za rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak, ambazo ziko Ulaya zisizuiwe, hivyo kuiruhusu familia yake kuzimiliki bila pingamizi. Hukumu hiyo imetolewa Aprili 6, mwaka huu, ikihitimisha kesi…

Ulikuwa unakimbilia wapi Magufuli?

Ottawa Na Chambi Chachage  Hakika mengi yamekwisha kusemwa. Mazuri na mabaya. Bila shaka yataendelea kusemwa na kuandikwa. Ni kuhusu aliyekuwa Rais wa Tano Tanzania, Dk. John Magufuli, aliyetutoka rasmi kipindi kama hiki mwaka jana. Jukumu langu katika makala hii ni…