Category: Habari Mpya
‘Sulfur’ mbovu hatarini kusambazwa
*Ni tani 70,000 zilizokamatwa na kuthibitishwa ni feki *Bodi ya Korosho yazirejesha kwa mzabuni zipelekwe kwa wakulima *Mkurugenzi Mkuu CBT azungumza, asema zimejadiliwa Dodoma Dar es Salaam Na Alex Kazenga Takriban tani 70,000 za viuatilifu aina ya ‘sulfur’ zilizokamatwa mkoani…
Bibi kizee kuwaburuza vigogo mahakamani
KILINDI Na Bryceson Mathias Ajuza mkazi wa Mgambo, Kwediboma wilayani Kilindi mwenye umri wa miaka 100, Fatuma Makame, ameapa kuwafikisha mahakamani maofisa wa serikali na wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi akiwatuhumu kwa kuhujumu chanzo chake cha kipato. Bibi huyo…
Asante Rais Samia kushiriki Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari
Na Deodatus Balile, Arusha Wiki hii nimerejea katika ukumbi huu. Msomaji wangu niwie radhi sikuweza kuandika katika wiki mbili zilizopita, kwani nilikuwa na maandalizi mazito ya mkutano mzito ulioileta Afrika Tanzania. Huu si mwingine, bali ni mkutano wa Siku ya…
Ndoto ya ‘Simba Mo Arena’ imeyeyuka?
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter “Ukiona mtu mzimaaa mamaa! Analia, mbele za watu ujue kuna jambo.” Sehemu ya kiitikio cha wimbo wa Msondo uitwao ‘Kilio cha Mtu Mzima.’ Tangu alipochukua jukumu la uenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu,…
Bunge linaweza kunusuru ugumu wa maisha
Leo Bunge linatarajiwa kupokea tamko la serikali kuhusu bei ya nishati ya mafuta ya petroli ambayo kupanda kwake kumesababisha mfumko mkubwa wa bei kuwahi kulikumba taifa na hata dunia katika siku za karibuni. Uamuzi uliochukuliwa na Bunge wiki iliyopita kujadili…
NATO: Chombo cha Marekani, kutekeleza sera zake duniani
Na Nizar K Visram NATO ni muungano wa kijeshi wa mataifa ya Ulaya na Marekani ulioundwa kwa madhumuni ya kulindana iwapo taifa moja litashambuliwa kutoka nje. Uliasisiwa chini ya mkataba wa Washington uliosainiwa na mataifa 12 Aprili 1949. Mataifa yenyewe…