JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Fisi mla watu akamata mtoto wa 28

KARATU Na Bryceson Mathias Mtoto mwenye umri wa miaka minne, Asteria Petro, amejeruhiwa na fisi katika Kata ya Basodawish, Karatu mkoani Manyara, akiwa ni wa 28 kukumbwa na kadhia hiyo, hivyo kuzua hofu miongoni mwa wananchi. Taarifa zinasema kwamba fisi…

Tunajifunza nini kutoka Chadema?

MOROGORO Na Everest Mnyele Wiki iliyopita Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewafuta rasmi uanachama wabunge 19 wa Viti Maalumu.Hebu kwanza tujifunze maana ya chama cha siasa. Kwa lugha rahisi, chama cha siasa ni muungano wa watu wenye itikadi moja…

Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani

Kwako Mheshimiwa Hamad Yusuf Masauni (MB) Waziri wa Mambo ya Ndani. Pole kwa kazi na ninakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Kwanza ninakupongeza kwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kukuamini na kukuteua kuwa msaidizi wake kuongoza wizara…

Baada ya mshahara, sasa chapeni kazi

Wiki hii serikali imetangaza kukubali maombi ya Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) ya kupandisha kima cha chini cha mishahara kwa wafanyakazi wa umma nchini. Haya ni maombi ya muda mrefu na mara kwa mara serikali imekuwa ikishindwa kuyatekeleza…

Ofisi ya TPA Uganda kuanza  kutoa huduma hivi karibuni

KAMPALA Na Mwandishi Maalumu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inaitazama Uganda kama fursa muhimu ya kiuchumi kwa Tanzania kupitia huduma za bandari. Akizungumza mjini hapa wiki iliyopita akiwa na maofisa waandamizi wa mamlaka hiyo waliokuwa katika msafara wa…

Fedha za TALGWU zapigwa  

*Ni Sh bilioni 1.1 za zabuni ya kutengeneza sare za Mei Mosi *Mzabuni adai amehujumiwa kwani mchakato wa zabuni uligubikwa na rushwa  *Talgwu yasema itafuata taratibu za kisheria kufidiwa gharama  *Wanachama wang’aka sare zao kutengenezwa chini ya kiwango  DAR ES…