JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ni mshikemshike Liverpool, Real Madrid

PARIS, UFARANSA Liverpool inalitaka taji la saba la Ulaya pamoja na kulipa kisasi cha fainali ya Ligi ya Mabingwa 2018 dhidi ya Real Madrid inayosaka kombe lake la 14 la mashindano hayo makubwa zaidi kwa klabu barani humo. Liverpool watakuwa…

Ni kilimo cha ‘kufa’ tu au ‘kufa na kupona’?

Na Joe Beda Rupia Nimewahi kuhoji katika safu hii miezi kadhaa iliyopita iwapo kilimo bado ni uti wa mgongo wa taifa letu. Hakukuwa na majibu ya moja kwa moja. Kilimo. Kilimo. Kilimo. Kimekuwa kikiambatana na kaulimbiu mbalimbali, lakini kwa hakika…

Utaratibu kupima DNA huu hapa

NA BASHIR YAKUB Hauna haja ya kuvutana na mtu kuhusu iwapo wewe ni baba wa mtoto au hapana. Nimesema baba kwa sababu wasiwasi wa aina hii mara zote upo kwa wanaume. Kuwa fulani ni mama wa fulani karibia mara zote…

Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya

Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza mishahara ikiwamo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari…

Utata Mloganzila

*Yatupiwa lawama ikipachikwa majina ya ‘njia panda ya kuzimu’, ‘ukienda hutoki’ *Mgonjwa alazwa siku sita, atibiwa mara mbili tu akitozwa Sh milioni 1.8  *JAMHURI lapiga kambi siku kadhaa kubaini ukweli, hali halisi ya mambo *Uongozi wazungumza, wasema lawama nyingi si…

Ubingwa si kigezo kocha kubaki  Yanga, Simba, Azam FC 

Dar es Salaam Na Andrew Peter “Kocha mnabadili leo, baada ya miezi mitatu anakuja mwingine katikati ya msimu huo. Mnategemea mtafanikiwa vipi? Maana huyu timu bado hajaizoea, kaondoka, anakuja mwingine. Halafu mna mechi kubwa. Baadaye mkifungwa mnasema kumbe na huyu…