JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

SAMATTA, MSUVA: Kwa suala la Stars, Niger wajipange

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Pamoja na ukame wa mabao na kusota benchi katika klabu zao washambuliaji Mbwana Samatta na Simon Msuva bado wanabeba matumaini ya Taifa Stars dhidi ya Niger katika kusaka kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya…

Bao la Fei Toto lafufua rekodi Yanga

Dar es Salaam Na Andrew Peter Bao la shuti la umbali wa mita 25 la kiungo Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ limefufua ndoto ya Yanga ya kusaka rekodi kuwa timu ya kwanza kutwaa mataji mawili; Kombe la Shirikisho la Azam…

Israel yashitakiwa kwa mauaji ya wanahabari

Na Nizar K Visram Shireen Abu Aqleh alikuwa mwanahabari wa Kipalestina aliyeajiriwa na Shirika la Utangazaji la Al Jazeera hadi Mei 11, 2022 alipopigwa risasi na kuuawa na wanajeshi wa Israel.  Aliuawa akiwa kazini akiripoti habari za wanajeshi hao kuvamia…

Lipumba na tuzo ya Mo  Ibrahim kwa Rais Samia

MOROGORO Na Everest Mnyele Tuzo ya Mo Ibrahim ilianzishwa mwaka 2007 na bilionea wa Sudan, Mohamed ‘Mo’ Ibrahim, kupitia taasisi yake kwa madhumuni ya kuwatuza viongozi wa Afrika, hasa marais na wakuu wa serikali walioonyesha uongozi uliotukuka katika nchi zao. …

Polisi wanatumia vibaya kosa la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu

Na Bashir Yakub Yapo mambo ambayo kwa mujibu wa sheria si kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu. Hata hivyo polisi kwenye vituo vyao wamekuwa wakilazimisha mambo hayo kuwa kosa hilo la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu kwa sababu wanazozijua wao, mojawapo…

‘Ifumuliwe’

*Wadau wadai sekta ya uvuvi nchini imeoza *Wasema kuna mtandao wa mapapa unaofadhili uvuvi haramu *Wamwomba Waziri Mashimba Ndaki kuifumua sekta nzima *Mwenyewe atangaza vita, operesheni maalumu yaanza Dar es Salaam Na Alex Kazenga Wadau wa uvuvi nchini wameiomba serikali…