Category: Habari Mpya
Mwenge wa Uhuru kupitia miradi 126 yenye thamani ya trilioni 8.536 Pwani – Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Chalinze MWENGE wa Uhuru Kitaifa umeingia Mkoa wa Pwani ukitokea Mkoa wa Morogoro ambapo utakagua, kuweka jiwe la msingi na kutembelea miradi 126 yenye thamani ya trilioni 8.536 . Kati ya miradi hiyo 18 itawekwa mawe…
Hatua za dharura zaendelea kuchukuliwa na TANROADS Morogoro kurejesha miundombinu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro imewataka Wananchi wa Mkoa huo kuwa watulivi wakati Serikali ikiendelea kuchukuwa hatua za dharura kurejesha miundombinu ya barabara na madaraja yaliyoharibika katika kipindi hiki cha mvua kubwa…
Benchika abwaga manyanga Simba
Na Isri Mohamed Klabu ya soka ya Simba leo Aprili 28, 2024 imetangaza rasmi kuachana na kocha wake Mkuu, Abdelhak Benchika na wasaidizi wake wawili kwa makubaliano ya pande zote mbili. Benchika alijiunga na Simba mwezi Novemba mwaka jana, na…
Ngorongoro yakusanya zaidi ya bil. 170/- mapato ya wageni nusu mwaka 2023/24
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) katika ongezeko la Watalii nchini, mpaka kufikia nusu mwaka wa fedha wa 2023/24, imefanikiwa kuingiza watalii zaidi ya laki saba na kuiwezesha kupata zaidi ya shilingi bilioni 170. Hayo…
Rais Samia ametupa ujasiri mkubwa wa kufanyakazi sisi wanawake – Mwenyekiti UWT Simanjiro
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania ( UWT ) Wilaya ya Simanjiro Anna Shinini amesema Muungano huo umeendelea kuwaunganisha akina mama Kwa Umoja wao na kuwapa nguvu, ujasiri mkubwa wa kufanya kazi hususani kupitia nafasi ya Mh Rais Samia Suluhu…
Serikali yatoa bil.1.5/- urejeshaji miundombinu ya barabara Mwanza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Mwanza ili kuanza…