Category: Habari Mpya
Taifa Stars kujiuliza kwa Algeria
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, itakuwa na kibarua kizito mbele ya Algeria katika mchezo wake wa pili wa Kundi ‘F’ wa kusaka kufuzu kwa fainali za Mataifa ya Afrika 2023, Ivory Coast….
Nini anatakiwa kukifanya ‘Mo’?
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Bilionea na Mwenyekiti wa zamani wa Bodi ya Wakurungezi wa Simba, Mohammed ‘Mo’ Dewji, ameandika katika ukurasa wake wa ‘twiter’: “Tunasafisha kila sehemu ambayo inahitaji kuwekwa sawa ili turudi kwenye ubora wetu #nguvu moja.”…
Rais Samia LNG ni dili, tusaini
Na Deodatus Balile Wiki iliyopita zimekuwapo taarifa za Tanzania kuwa katika mchakato wa kusaini mkataba wa kuanza ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha gesi ya LNG mkoani Lindi. Mkataba wenyewe ni wa dola bilioni 40, karibu Sh trilioni 70 za Tanzania. …
Mkandarasi mwendokasi pasua kichwa
DODOMA Na Mwandishi Wetu Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, amelia bungeni wakati akihoji kwa nini Kampuni ya Syno Hydro inapewa zabuni za kujenga miradi mbalimbali ukiwamo wa barabara ya mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Gongo la Mboto jijini Dar es…
Umaarufu wa Rais uiunganishe Afrika
Ndoto ya miaka mingi ya viongozi waasisi wa Umoja wa Afrika (awali OAU na sasa AU) ya kuliona bara hili likishirikiana katika kila nyanja, si kwamba tu haijatimia, bali pia haionekani kutimia katika miaka 10 au 20 ijayo. Ukweli huu…
Uchakavu waitesa Hoteli ya Bahari Beach
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hali ya hoteli ya kitalii yenye hadhi ya nyota tano inayomilikiwa na Serikali ya Libya, Bahari Beach Ledger Plaza, ni mbaya kiasi cha kuibua migogoro ya mara kwa mara kati ya uongozi na wafanyakazi….