Category: Habari Mpya
Mbatia azidi kubanwa mikoani
KATAVI Na Walter Mguluchuma Chama cha NCCR-Mageuzi mkoani hapa kimeunga mkono maazimio ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho kumsimamisha uenyekiti James Mbatia na makamu wake, Angelina Mtahiwa. Akitoa tamko la chama la mkoa, Kamishna wa NCCR Mkoa wa…
‘Serikali imedhamiria kuungana na sekta binafsi’
DAR ES SALAAM Na Jackson Kulinga Siku moja kabla ya kufanyika mkutano wa 13 wa Baraza la Biashara la Taifa (TNBC), Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi (TPSF), Paul Makanza, alizungumzia kuridhishwa kwake na umakini wa serikali katika kutekeleza maazimio…
BARUA KWA RAIS Mahabusu: Kisutu Extended inatutesa
Ndugu Mhariri, tunaomba nafasi japo ndogo katika gazeti lako tukufu ili Rais Samia Suluhu Hassan na watendaji wake wafahamu yanayotusibu. Malalamiko yetu ni ya kukaa gerezani kwa muda mrefu katika kesi za mauaji zilizopo Mahakama Kuu upande wa Kisutu Extended…
Tulinde rasilimali za nchi yetu kwa wivu mkubwa
Septemba 1961, Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, alitoa ilani iliyokuja kujulikana kama Ilani ya Arusha kuhusu uhifadhi. Alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi siyo tu kwamba…
Ya Raila 2017 yamkuta Ruto
MOMBASA Na Dukule Injeni Takriban miaka 10 iliyopita Uhuru Kenyatta akiwa kiongozi wa Chama cha TNA aliungana na William Ruto wa URP wakati huo na kuunda muungano wa Jubilee ulioshinda Uchaguzi Mkuu mwaka 2013. Katika moja ya kampeni zao, Kenyatta,…
Wadau wataka maboresho Sheria ya Habari
Na Alex Kazenga Dar es Salaam Wadau wa tasnia ya habari wanaiomba serikali kuitazama upya Sheria ya Habari huku wakipendekeza kuwapo kwa chombo kitakachosimamia tasnia hiyo. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, amebainisha hayo hivi karibuni katika…