Category: Habari Mpya
BAJETI 2022/23 Mhadhiri: Tujipange kwa Sh trilioni 20 tu
*Wananchi waomba kodi ya kichwa isirejeshwe DAR ES SLAAM Na Mwandishi Wetu Bajeti Kuu ya Serikali iliyosomwa bungeni jijini Dodoma wiki iliyopita imezua mjadala karibu kila kona ya nchi, ikipongezwa katika maeneo mengi, lakini pia serikali ikiombwa kutoa ufafanuzi hapa…
Ahadi za Ruto, Raila zinatekelezeka?
Mombasa Na Dukule Injeni Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC) imepitisha wagombea wanne miongoni mwa zaidi ya 50 walioomba kuwania urais kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu; ila ni wawili tu ndio wanapewa nafasi kubwa kumrithi…
Treni, mabehewa SGR ni mitumba
*Ni tofauti na tambo za awali za TRC kuwa wangeleta injini, mabehewa mapya kutoka kiwandani *Ukarabati, utiaji nakshi mabehewa chakavu haujakamilika; TRC, mzabuni waingia kwenye mgogoro wa malipo NA MANYERERE JACKTON DAR ES SALAAM Injini na mabehewa ya treni vilivyoagizwa…
Kosa la Lissu, Kosa la Maalim Seif
LONDON Na Ezekiel Kamwaga Samuel Huntington, pengine mchambuzi mahiri zaidi wa siasa za Marekani katika karne iliyopita, alipata kuwa mhadhiri katika Chuo Kikuu mashuhuri cha Harvard nchini humo. Mmoja wa wanafunzi wake alikuwa Fareed Zakaria na anakumbuka somo moja kubwa…
Kumekucha uchaguzi wa Yanga
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Harakati za uchaguzi wa Klabu ya Yanga zimeanza kwa kishindo na tayari majina kadhaa makubwa yamejitosa kutaka kumrithi Mwenyekiti, Dk. Mshindo Msolla. Hakuna ubishi uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na utamu wa aina yake…
Bingwa Sh milioni 600, wachezaji maisha duni
DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Baada ya kuishuhudia Taifa Stars ikipokea kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Algeria katika mchezo wa Kundi ‘F’ kusaka kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2023, Ivory Coast, macho na masikio…