JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mauaji gerezani

*Nyampala auawa akidaiwa ‘kuiba’ mahindi ya Mkuu wa Gereza  *Mpambe wake anusurika kifo kwa kipigo, alazwa ICU Muhimbili *RPC agoma kuzungumza, aukana mkoa wake akidai yeye ni RPC Mtwara Dar es Salaam Na Alex Kazenga  Wakati taifa likifikiria namna sahihi…

Takukuru yachunguza madudu TALGWU 

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Salum Hamduni, amesema wanachunguza matumizi mabaya ya ofisi, ikiwamo udanganyifu na kutofuata taratibu za zabuni za ununuzi zinazodaiwa kutokea katika Chama cha Wafanyakazi…

Yanga bingwa, lakini…

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter Mabingwa mara 28 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, sasa wanahitaji kushinda mechi nne ili kumaliza msimu na rekodi ya kutokufungwa. Yanga ilitangaza ubingwa wa ligi wiki iliyopita baada ya kuifunga Coastal Union mabao…

Yahya Jammeh: Dikteta wa Gambia aliyepora mabilioni

Na Nizar K Visram Mahakama ya Marekani imeamuru kuwa jengo lenye thamani ya dola milioni 3.5  lililo karibu na Washington lichukuliwe kutoka kwa Yahya Jammeh, aliyekuwa Rais wa Gambia. Uamuzi huu wa Mei 24, mwaka huu ni baada ya kudhihirika…

Waziri Dk. Mwigulu epuka kodi za kero

Na Deodatus Balile, Dodoma Wiki iliyopita nilikuwa katika Ukumbi wa Bunge. Nilimsikiliza kwa umakini mkubwa Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, wakati anawasilisha bajeti ya wizara yake. Dk. Mwigulu alieleza kuhusu maeneo mengi hasa kilimo kwa ufasaha mkubwa…

Bajeti hii itekelezwe kikamilifu

Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 imesomwa wiki iliyopita bungeni jijini Dodoma na kwa sasa inajadiliwa kabla ya kupitishwa tayari kwa utekelezaji wake kuanzia Julai Mosi mwaka huu. Kwa kawaida, pamoja na ukweli kwamba kabla ya kusomwa…