JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais anavyofungua milango ya uwekezaji

Dar es Salaam Na Mwalimu Samson Sombi Maendeleo makubwa ya nchi pamoja na mambo mengine hutokana na maono na msimamo wa kiongozi mkuu wa nchi.  Aidha, maendeleo ya nchi huwa na hatua kuu nne ambazo ni mipango, mikakati ya utekelezaji…

Kuhusu kesi ya kina Mdee kutupwa

Na Bashir Yakub Maombi au kesi inaweza kutupwa na mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, au inaweza kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha tena/kuifungua upya. Kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha…

MOI: Watengeneza mkono wa umeme 

DAR ES SALAAM Na Aziza Nangwa Katika mwili kiungo ni kitu muhimu kwa maisha ya mwanadamu, ndiyo maana hata kimoja kikitetereka mtu hawezi kufanya kazi zake ipasavyo. Tunaona namna gani wanasayansi duniani kote wanavyohangaika kubuni mbinu mbalimbali ili kutatua changamoto…

Kishindo miaka 41 ya SUMA JKT

Na Alex Kazenga Dar es Salaam Julai Mosi, 2022 Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA JKT) litatimiza miaka 41 ya kuasisiwa kwake huku likipania kutumia uzoefu wake kutanua shughuli zake hadi nje ya nchi. Linakusudia kutumia…

Yasiyosemwa Ngorongoro

Ngorongoro Na Mwandihi Wetu Muda ni saa 4 asubuhi, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella, Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mangwala, wakiwa na viongozi mbalimbali wa vyombo vya ulinzi na usalama wanaelekea katika Kijiji cha Kimba kilichoko ndani…

Mauaji gerezani

*Nyampala auawa akidaiwa ‘kuiba’ mahindi ya Mkuu wa Gereza  *Mpambe wake anusurika kifo kwa kipigo, alazwa ICU Muhimbili *RPC agoma kuzungumza, aukana mkoa wake akidai yeye ni RPC Mtwara Dar es Salaam Na Alex Kazenga  Wakati taifa likifikiria namna sahihi…