JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Loliondo yametimia

NGORONGORO Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mvutano uliopo Pori Tengefu la Loliondo mkoani Arusha kati ya serikali na baadhi ya wananchi wanaoungwa mkono na asasi zisizo za kiraia, una vimelea vya uchochezi kutoka kwa raia wa kigeni….

Mkuu wa Gereza kortini kwa mauaji 

*Afikishwa pamoja na askari magereza wawili *Akiwa mahabusu anatumia simu kutoa maelekezo ya kikazi  Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale, Gilbert Sindani na askari magereza wawili; Sajenti Yusuph Selemani na Koplo Fadhili Mafowadi…

Manung’uniko kambi ya Ruto Mlima Kenya

Mombasa Na Dukule Injeni Eneo ambalo wagombea wawili wakuu miongoni mwa wanne waliopitishwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu nchini Kenya utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu wanahitaji zaidi kura ni Mlima Kenya. Wapiga…

Pazia la Ligi Kuu kufungwa kesho

Dar es Salaam Na Andrew Peter Baada ya hekaheka za muda mrefu hatimaye pazia la Ligi Kuu ya Tanzania Bara litafungwa rasmi Jumatano hii lakini macho yatakuwa kwa timu nne za mwisho zinazowania kubaki katika ligi hiyo. Wageni Mbeya Kwanza…

Mastaa Bongo Fleva wanaowasha moto katika tamthiliya

NA CHRISTOPHER MSEKENA Licha ya soko la filamu za hapa nyumbani kuyumba lakini tamthiliya zinaendelea kubaki katika ramani na kujizolea wafuasi wengi wanaofuatilia visa na mikasa inayopatikana ndani yake. Ongezeko la tamthiliya limetoa nafasi kwa wasanii mbalimbali, wakubwa kwa wadogo…

Uingereza lawamani ‘kuuza’ wakimbizi Rwanda

Na Nizar K Visram Maili 80 kutoka jijini London, Uingereza, ndege aina ya Boeing 767  ilikuwa inasubiri katika uwanja wa kijeshi wa Boscombe Down kuwachukua wakimbizi na kuwahamishia Rwanda bila ridhaa yao.  Hawa walitoka nchi mbalimbali kama Afghanistan, Iran, Iraq,…