JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

‘Ni bajeti ya neema kwa wananchi’

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wakati mwaka mpya wa kiserikali, maarufu kama mwaka mpya wa fedha ukianza, Watanzania wanapeleka matumaini yao katika utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Julai ya kila mwaka huwa ndio…

NHC yaendelea kunawiri kwa ukwasi                                                                    

*Mtaji wake sasa wagonga shilingi trilioni 5.4 *Ndilo shirika la umma tajiri zaidi kwa sasa *UN-HABITAT watoa mkopo nyumba nafuu *Warejesha ofisi zao zilizofungwa Tanzania  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambalo ndilo shirika la umma mama hapa nchini, thamani…

Kauli ya ‘Rais Ganja’ yazua gumzo

Mombasa Na Dukule Injeni Hakuna ubishi, urais Kenya ni mbio za farasi wawili licha ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kupitisha majina manne ya wanaosaka kumrithi Rais Uhuru Kenyatta kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Agosti 9, mwaka huu. Naibu…

Wananchi wakataa kutawaliwa  na Malkia wa Uingereza

Na Nizar K Visram Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) ulifanyika mjini Kigali, Rwanda Juni 20 hadi 25, mwaka huu. Mwenyekiti alikuwa Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Sherehe za ufunguzi wa mkutano ziliongozwa na mwanamfalme Charles akimwakilisha mama…

Tuzungumze, tujenge nchi pamoja

DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Wakati wa harakati za kudai uhuru, viongozi wa Kiafrika waliwaunganisha wananchi kwa kuanzisha vyama vya siasa, pamoja na mambo mengine vyama hivyo vilianzishwa kwa madhumuni  ya kutafuta umoja ambao ulikuwa ni silaha namba…

Urais, kizazi cha dhahabu cha Arusha

LONDON Na Ezekiel Kamwaga Mwanzoni mwa miaka ya 1980, mmoja wa maofisa wa ngazi za juu wa Serikali ya Tanzania alipata safari ya kwenda nchini Yugoslavia kikazi.  Siku moja kabla hajaondoka, akaitwa Ikulu na aliyekuwa Rais wakati huo, Mwalimu Julius…