Category: Habari Mpya
Siku ya Kiswahili duniani; ni fursa au changamoto? – 2
DAR ES SALAAM Na Abbas Mwalimu Wiki iliyopita makala hii ilichambua umuhimu wa Kiswahili katika nyanja tofauti tofauti. Leo tuendelee kwa kukichambua jinsi kilivyotumika pia kama lugha ya ukombozi katika nchi za Msumbiji, Zimbabwe na Afrika Kusini (wakati wa ubaguzi…
Lumumba azikwa kishujaa baada ya miaka 61
Na Nizar K Visram Hatimaye wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamemzika rasmi Waziri Mkuu wao wa kwanza, Patrice Lumumba, aliyeuawa mwaka 1961. Wakoloni na vibaraka wao walimuua kisha wakakatakata mwili wake na kuuyeyusha katika tindikali. Kilichobaki ni…
Azimio watumia hasira za Ruto kumdhoofisha
MOMBASA NA DUKULE INJENI Kampeni za kisiasa nchini Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mapema mwezi ujao zinaingia hatua za lala salama huku kila upande ukitumia vema majukwaa ya siasa kupigana vijembe badala ya kuuza sera. Licha ya uwapo wa wagombea…
Makamba:Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Imeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kumekuwa na changamoto ya kuwepo kwa umeme pungufu na usio wa uhakika na…
Mapya yaibuka Mkuu wa Gereza
*Ni yule anayetuhumiwa kwa mauaji ya mfungwa Liwale *Adaiwa kupelekewa kitanda cha futi tano kwa sita alalie gerezani *Askari magereza walalamika kulazimishwa kumpigia saluti wakati ni mahabusu Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale,…
Ukwepaji kodi uwindaji wa kitalii
*Malipo yafanywa kwenye benki za ughaibuni *Akaunti kadhaa zabainika kufunguliwa Mauritius *Tanzania yaambulia ‘kiduchu’, nyingi zaishia huko *TRA, Wizara Maliasili hawana taarifa za wizi huo DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baadhi ya kampuni za uwindaji wa kitalii zinatuhumiwa kukwepa…