Category: Habari Mpya
TMA yapongezwa kwa kuimarisha ubora na usahihi wa taarifa za hali ya hewa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Morogoro Wafanyakazi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), wamekutana kupitia kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TMA kilichofanyika katika ukumbi wa NSSF, Morogoro Aprili 30, 2024, kwa lengo la kufanya tathmini ya utendaji kazi wa…
Majaliwa : Serikali kuimarisha kilimo cha umwagiliaji kwa kuongeza bajeti
WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji kwa kujenga miundombinu na kuongeza bajeti. Aidha amezielekeza Halmashauri zote nchini kuweka mpango mahsusi wa ardhi kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji. Majaliwa aliyasema…
Kambole awaponza Yanga, wafungiwa kusajili
Na Isri Mohamed Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeifungia klabu Yanga Sc ya Tanzania kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake Lazarus Kambole baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo. Taarifa ya shirikisho…
Bashungwa : Barabara zote zilizoathiriwa na El Nino kufunguliwa kwa wakati
Serikali inazifungua barabara zote zilizoathiriwa na mvua za El-Nino ambazo zimeendelea kunyesha kwa muda mrefu katika maeneo mbalimbali kote nchini na kuleta uharibifu wa miundombinu ya barabara. Licha ya uharibifu unaotokea Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS)…