Category: Habari Mpya
Waziri Majaliwa kuzindua uboreshaji daftari la Kudumu la Wapiga Kura Kigoma
Na. Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Kigoma Wananchi mkoani Kigoma wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura linalotarajiwa kuzinduliwa mkoani humo Julai Mosi, 2024. Wito huo umetolewa na Mwenyekiti…
Vijana waandamana Kenya
Kundi la vijana limeandamana mjini Nairobi, Kenya leo Juni 20, 2024 kuishinikiza serikali kufuta mapendekezo ya muswada wa sheria ya kodi, ambao wanadai hauna tija kwa wananchi. Vijana hao wamedai muswada huo haukushirikisha wadau wengi wakiwemo wanasiasa, ili uweze kujadiliwa…
DC Magoti atembelea mradi wa uwekezaji wa Visegese Kisarawe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amefanya kikao kazi na wataalam wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyi pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya kwa ajili ya kujadili maendeleo ya Mradi wa…
Benki ya TCB yatangaza faida ya bilioni 19.27/-
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Commercial Bank (TCB), Adam Mihayo amesema kuwa Benki hiyo imeshuhudia ongezeko kubwa la mapato ya jumla ya Shilingi Bilioni 19.27 sawa na asilimia 11.19 hadi kufika Bilioni 19. 21, kwa mwaka 2023. ikilinganishwa na mwaka 2022…