JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mambo matano muhimu kwa Rayvanny nje ya WCB

NA CHRISTOPHER MSEKENA Wiki iliyopita Staa wa Bongo Fleva, Rayvanny, ameteka mitandao ya kijamii baada ya kutangaza kuachana na Lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz. Hatua hiyo imekuja baada ya Rayvanny kuwa mkubwa kiasi cha kuona sasa anaweza kujisimamia…

Miaka minne ya kishindo shule za serikali

Wakati wa uongozi wa Awamu ya Kwanza chini ya Mwalimu Julius Nyerere, serikali ilijitahidi na kufanikiwa kujenga shule za msingi na sekondari kwa madhumuni ya kutoa elimu kwa vijana. Wakati huo hapakuwa na shule nyingi za binafsi kama ilivyo sasa….

Spika ataka sekta za kilimo, nishati kufungamana

LILONGWE Na Mwandishi Maalumu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amezitaka nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo  Kusini mwa Afrika (SADC) kufungamanisha sekta za kilimo na nishati kupitia mikakati  mbalimbali ya kukuza uchumi wanayoitekeleza.  Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 51…

Tuheshimu sekta binafsi, fedha zao

Na Deodatus Balile Wiki iliyopita miongoni mwa mambo aliyofanya Rais Samia Suluhu Hassan ni pamoja na kushajihisha serikali kuipa nafasi sekta binafsi. Amesema anatamani kuona sekta binafsi inakua kama ilivyokuwa enzi za Rais Bejamin Mkapa. Sitanii, saa chache baada ya…

Pugu Kinyamwezi walalamikia kuvamiwa

Na Aziza NangwaBaadhi ya wakazi wa Pugu Kinyamwezi wanalia kwa kupoteza viwanja, nyumba zao na kanisa walilokuwa wakilitumia kuabudu baada ya mtu waliyemtaja kwa jina moja la Shabani na kundi lake kuwavamia mara kwa mara usiku na mchana.Wakizungumza na JAMHURI…

Wakazi Kwembe walilia fidia kupisha ujenzi wa MUHAS

Sisi zaidi ya wakazi 2,500 wa maeneo ya Kwembe Kati, King’azi, Kisopwa na Mloganzila katika Kata ya Kwembe tunakuomba Rais Samia Suluhu Hassan utusaidia kulipwa fidia zetu. Kwa mara ya kwanza tulivunjiwa nyumba zetu na serikali tangu Septemba, 2008 baada…