JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kinana, Shaka watua Katavi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana amewasili mkoani Katavi kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi itakayokwenda sambambamba na kupokea taarifa na kukagua miradi ya maendeleo. Katika ziara hiyo ya…

IGP Wambura :Watakaovunja sheria kushughulikiwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camilus Wambura amewataka wananchi wa jiji la Arusha kuendelea kutunza amani iliyopo na kutokujiingiza kwenye vitendo vya uvunjifu wa amani hasa kipindi hiki ambapo kuna mkutano mkubwa wa Maras…

Happy Nation lagongana uso kwa uso na roli

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu wanne wamejeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyotokea katika eneo la Mkambalani wilayani Morogoro ikihusisha basi la abiria kampuni ya Happy Nation lenye namba za usajili T 702 DGF lililokuwa likitokea Dar es…

Burigi Chato yatakiwa kujitangaza kufikia uwezo kujiendesha

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kamishna Uhifadhi (TANAPA), William Mwakilema ameagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Burigi -Chato kuboresha huduma za utalii pamoja na kuongeza juhudi za kujitangaza ili kufikia uwezo wa kujiendesha na kuchangia pato la Taifa. Kamishna Mwakilema ameyasema hayo…

UNFPA:Muda wa kuishi kwa Watanzania umeongezeka

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Manyara Mkoa wa Manyara unatajwa kuwa kwa sasa una jumla ya idadi ya watu millioni moja, laki nane na elfu sabini na tano sawa na ongezeko la asilimia 3.2. Ameyaeleza hayo Mkuu wa Mkoa wa Manyara Charles Makongoro…

Serikali yamaliza kiu ya wananchi kutumia mitumbwi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kagera SERIKALI imemaliza kiu ya wananchi wanaotumia barabara ya Orthodox-Rwenkorongo-Chonyonyo kwa kutatua changamoto ya kutumia mitubwi kama njia ya usafiri kuvuka eneo la barabara lenye tingatinga umbali wa kilomita 0.25 kwenda kupata huduma za kijamii. Hayo yameelezwa na…