JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Sagini aagiza kufuatilia mienendo utendaji kazi wa askari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,MoHA Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameviagiza Vyuo vya Polisi nchini kuupitia mtaala wa mafunzo ili kujua kwa kiwango gani unajaribu kugusa changamoto mbalimbali zinazoonekana katika utekelezaji wa kazi za Maafisa na Askari…

Serikali kuendelea kutekeleza miradi pande zote za Muungano

Serikali imesema itaendelea kutafuta fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi kwa pande zote mbili za Muungano. Hayo yamesemwa jana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama alipofanya…

Dkt.Nchemba afanya ziara ya kushtukiza soko la Kariakoo

Na Benny Mwaipaja,JamhuriMedia,Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameiagiza mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutatua changamoto mbalimbali za wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo ili kuchochea biashara katika soko hilo linalotegemewa na wafanyabiashara…

Serikali:Hakuna mgonjwa wa homa ya nyani nchini

Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa Mpaka sasa hakuna mgonjwa aliyetambulika na kuthibitika kuwa na ugonjwa homa ya nyani (Monkeypox) hapa nchini. Kauli hiyo imebainishwa na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Aifello Sichalwe leo Mkoani Manyara wakati akitoa taarfa…