JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ajinyonga baada ya timu ya Yanga kufungwa

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tunduru MFANYABIASHARA aliyetambulika kwa jina la Hery Sanga mkazi wa kitongoji cha Kigamboni, kijiji Biasi, kata ya Nakayaya,Wilaya ya Tunduru, amejinyonga hadi kufa chanzo kikidaiwa ni matokeo mabaya ya mechi ya kirafiki kati ya timu ya Yanga…

NHC kuanza kutekeleza mradi wa Samia Housing Scheme

Katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) litatumia shilingi bilioni 413.7 kutekeleza vipaumbele mbalimbali ikiwemo mpango wa ujenzi wa nyumba 5000 za gharama ya kati ,chini ujulikanao Samia Housing Scheme (SHS). Hayo yamesemwa leo…

19 wafariki baada ya magari manne kugongana Kahama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Shinyanga Watu 19 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa kwenye ajali iliyohusisha magari manne ikiwemo treka wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Ajali hiyo imetokea katika barabara ya Isaka kwenye kijiji cha Mwakata halmashauri ya Msalala. Ajali hiyo…

Walengwa wa TASAF Morogoro wawezeshwa kuzalisha funza chuma

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Jenista Mhagama amesema walengwa wa Mpango wa Kuzinusuru Kaya Maskini Manispaa ya Morogoro unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wamewezeshwa kuendesha mradi wa funza chuma…

‘Sensa ya Makazi itapunguza migogoro ya ardhi’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Ilemela Wananchi wametakiwa kushiriki na kutoa taarifa sahihi za Makazi na umiliki wake wakati wa zoezi la Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mapema mwezi Agosti 23, mwaka huu, ili kupunguza migogoro ya ardhi inayoepukika. Rai hiyo imetolewa…