Category: Habari Mpya
Meena:Sheria zenye mtego zimechangia kutia hofu wanahabari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar IMEELEZWA kuwa kuna mambo mengi yaliyochangia kutia hofu wanahabari ni pamoja na kuwepo kwa sheria zenye mtego, ikiwemo utaratibu wa kuomba leseni ya kuendesha gazeti kila mwaka. Hayo yamebainishwa na mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la…
Polisi waendelea na oparesheni kali kuzuia uhalifu Dar
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limesema linaendelea na operasheni maalum kali ya kuzuia vitendo vya kihalifu maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam. Akizungumza mapema leo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es…
Endelea kufuatilia matokeo ya uchaguzi Kenya
Zaidi ya vituo 43,000 vya kupigia kura vimewasilisha matokeo yao ya urais kutoka kwa kura ya Jumanne. Matokeo ya muda yanaonyesha ushindani mkali kati ya wagombeaji wawili wakuu wa urais. Matokeo ya awali ya urais yanaonyesha ushindani mkali kati ya…