JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

TPA yajipanga kuhimili ushindani kibiashara

MAMLAKA ya usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema kuwa ili kuweza kuhimili ushindani katika biashara ya Bandari,imeendelea kuboresha matumizi ya mifumo ya TEHAMA kuondokana na mifumo ya zamani Mifumo katika utoaji huduma za Kibandari. Hayo yamesemwa leo Agosti 13,2022 jijini…

Balile:Bado kuna vifungu vya sheria ambavyo ni kandamizi’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri (TEF),Deodatus Balile amesema kuwa bado kuna maeneo katika vifungue vya sheria ya habari vimekuwa vikwazo na vinahitaji kufanyiwa marekebisho. Hayo ameyasema jana katika kipindi cha Kipima Joto kinachorushwa na Televisheni ya ITV…

Dkt.Mpango atoa maagizo kwa Wizara ya Madini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango,ameitaka Wizara ya Madini, STAMICO na NEMC kuongeza kasi ya ukaguzi wa migodi na midogo ili kubaini na kudhibiti uharibifu wa mazingira. Makamu wa Rais amesema hayo jana jijini…

‘Vyombo vya habari vinahitaji sheria rafiki’

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedi, Dar TASNIA ya habari inapaswa kuwa na sheria na kanuni rafiki ili kuruhusu kukua na kwamba, kuweka sheria kali na ngumu, kunaua vyombo vya habari lakini kunaacha athari hasi kwa taifa. Hayo yamesemwa leo na Mjumbe wa…

Meena:Sheria zenye mtego zimechangia kutia hofu wanahabari

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar IMEELEZWA kuwa kuna mambo mengi yaliyochangia kutia hofu wanahabari ni pamoja na kuwepo kwa sheria zenye mtego, ikiwemo utaratibu wa kuomba leseni ya kuendesha gazeti kila mwaka. Hayo yamebainishwa na mjumbe wa Kamati Tendaji ya Jukwaa la…