Category: Habari Mpya
STAMICO,GST watakiwa kufanya utafiti wa madini Mtwara
Na Tito Mselem,JamhuriMedia, NAIBU Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa ameiagiza Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kuwasadia wachimbaji wadogo wa madini katika mkoa wa Lindi na Mtwara kwa kuwafanyia…
Ridhiwani Kikwete aingia mtaani kutatua migogoro ya ardhi
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete amezitembelea familia na makazi yenye migogoro ya ardhi ya muda mrefu kwa kuzifuata katika maeneo yao kwa lengo la kujionea uhalisia wa migogoro na kupata maelezo ya kina kabla…
Behewa mpya zaidi ya 20 kuwasili nchini Septemba
Serikali imesema mabehewa mapya ya abiria zaidi ya 20 ya reli ya kati yanatarajiwa kuwasili mapema mwezi Septemba mwaka huu kutokea Nchini Korea Kusini lengo likiwa kupunguza changamoto ya upungufu uliopo wa mabehewa hususani kwa njia ya Mpanda na Kigoma….
Prof.Muhongo ahamasisha wananchi kushiriki sensa
Na Fresha Kinasa,JamhuriMedia,Musoma Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara,Prof.Sospeter Muhongo ameendelea na zoezi la kampeni la kutoa elimu na hamasa kwa wananchi wa Kisiwani cha Rukuba ili washiriki kwa ufanisi kuhesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi Agosti…