JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wahifadhi watakiwa kujenga mahusiano mazuri na wananchi

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amewataka wahifadhi kujenga mahusiano mazuri na wananchi wanaoishi pembezoni mwa hifadhi ili kurahisisha utekelezaji wa majukumu yao ya kuhifadhi rasilimali za Taifa. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe….

Waziri Aweso amuondoa meneja RUWASA Kondoa

Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondosha katika nafasi ya Meneja wa RUWASA Wilaya Kondoa Mhandisi Falaura Suleiman Kikusa kwa kushindwa kumudu majukumu yake kikamilifu. Waziri Aweso akiwa Wilayani Kondoa amebaini kuwa Meneja huyo wa Maji Vijijini Wilaya amefanya usanifu wa…

Babu miaka 92, afaulu mtihani wa hesabu

Mwanamume mkongwe wa miaka 92 anayeaminika kuwa mtu mzee zaidi nchini Uingereza kufanya mtihani wa GCSE amefaulu mtihani wake wa somo la hesabu darasa la tano – kwa alama ya juu zaidi. Derek Skipper,kutoka Orwell huko Cambridgeshire, alifanya mtihani baada…

Serikali kuendelea kuwekeza TAZARA

Serikali imesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya bilioni 12 kwa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma ya usafirishaji wa abiria na mizigo ya ndani na nje ya nchi…

Majaliwa awataka Ma’RC waimarishe mawasiliano utekelezaji zoezi la Sensa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini waimarishe mawasiliano ili kutatua changamoto zitakazojitokeza wakati zoezi la sensa likiendelea. Ametoa agizo hilo leo ( Alhamisi, Agosti 25, 2022) wakati akizungumza na wakuu wa mikoa kwenye kikao alichokiendesha kwa…