Category: Habari Mpya
RC Makalla atoa siku 30 kwa wakazi wa Chasimba, Chatembo kulipa fidia
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ametoa mwezi mmoja kwa wavamizi wa ardhi ya Kiwanda Cha Wazo kuhakikisha wanapokea ankara na kuanza malipo ya fidia kwa mujibu wa makubaliano yaliyokuwa yamewekwa awali. RC…
Polisi, LATRA Manyara wabaini madudu mabasi ya wanafunzi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Manyara Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani wa Jeshi la polisi Mkoa wa Manyara Mrakibu Mwandamizi wa Polisi SP Georgina Richard Matagi amewaagiza wamiliki na watumiaji wa magari yanayotumika kubeba wanafunzi kuzingatia sheria za usalama barabarani. Ameyasema hayo…
Serikali yaongeza bajeti ya matengenezo ya miundombinu ya umeme
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI imeongeza bajeti ya matengezo ya miundombinu ya umeme kutoka shilingi bilioni 197.61 kwa mwaka 2021/2022 hadi shilingi bilioni 211.56 kwa mwaka 2022/2023 ili kuimarisha hali ya upatikanaji umeme nchini. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma wakati Wizara…
Rais Dkt.Mwinyi ateua viongozi mbalimbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Agosti 30, 2022 na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi…
Tabora yaongoza usajili wa laini za simu Kanda ya Kati
Mkoa wa Tabora unaongoza mikoa ya kanda ya kati kwa Tanzania Bara kwa uwiano mkubwa kati ya wakazi wa mkoa huo na laini za simu zilizosajiliwa, kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni za mawasiliano nchini. Meneja mkuu wa kanda…