Category: Habari Mpya
Sendiga: Watumishi tatueni kero za wananchi
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rukwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga wametakiwa kushirikiana katika kutatua kero na shida za wananchi ili kuleta ustawi wa mji huo. Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Queen Sendiga leo Septemba…
Wawekezaji Arusha wammwagia sifa Rais Samia ujenzi wa barabara
Wawekezaji na wananchi wa kata ya Themi, Halmashauri ya Jiji la Arusha wamemsifu na wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali na kuwajengea kwa kiwango cha lami barabara za Themi -Viwandani zenye urefu wa kilometa 1.4 kwagharama ya shiligi 1,175,141,850.00….
Kinana aishauri kampuni ya meli kujiendesha kibiashara
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kigoma Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini (MSCL) kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za serikali Ili kukopa fedha na kununua meli mpya ili…
Watoto laki 263 Pwani kupata chanjo ya Polio
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Pwani Mkoa wa Pwani unatarajia kuchanja zaidi ya watoto zaidi ya laki 263 chanjo ya ugonjwa wa polio katika kipindi cha kampeni hiyo ambayo itadumu kwa kipindi Cha siku nne. Hayo yamebainishwa na Mganga mkuu wa Mkoa wa…
TANAPA isaidieni Mahakama kujenga ushahidi usio na mashaka
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Naibu Kamishna wa Uhifadhi na Maendeleo ya Biashara (TANAPA), Herman Batiho amewataka wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi na Kwata kwa Askari Waandamizi kuisaidia Mahakama kujenga Ushahidi usio na mashaka kwa kesi zote zinazohusiana na masuala ya Wanyamapori…
Mabasi yasiyokata tiketi kwa mtandao kuanza kuzuiliwa kesho
Na Mwandishi Wetu,Jamhurimedia,Morogoro MAMLAKA ya udhibiti usafiri ardhini( LATRA)imesema kuwa kuanzia Septemba mosi 2022 mabasi yote ya abiria ambayo hayatakuwa yamewakatia abiria wake tiketi mtandao hayataruhusiwa kuendelea na safari yake ikiwa ni pamoja na kutozwa faini ya shilingi 250000 kwa…