JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watakaosalimisha silaha wanazomiliki kinyume cha sheria kusamehewa

Jeshi la Polisi linapenda kuwataarifu wananchi wote kuwa,kutakuwa na uzinduzi wa kampeni maalum ya mwezi mmoja unaojulikana kama msamaha wa Afrika itakayohusisha usalimishaji wa silaha haramu kwa hiari zinazomilikiwa na baadhi ya watu kinyume cha sheria, ama kwa kutokujua taratibu…

Basi la Super Najimunisa yaua watano, majeruhi 54 mkoani Shinyanga

WATU watano wamekufa huku 54 wakijeruhiwa katika ajali ya basi lililogongana na fuso uso kwa uso eneo la Ibadakuli Manispaa ya Shinyanga. Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi Septemba 3,2022 majira ya Saa 8 usiku, ikihusisha basi Kampuni ya Super Najimunisa…

Waziri Bashe awataka wakulima kununua mbolea kulingana na mahitaji

Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka wakulima kununua mbolea kulingana na mahitaji yao kwani hakutakuwa na upungufu wa bidhaa hiyo kwa msimu wote wa kilimo wa 2022/2023. Ametoa kauli hiyo jana Septemba 2, 2022 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari…