Category: Habari Mpya
Kumbilamoto awashauri wafanyabiashara kutumia mitandao ili kukuza biashara
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omar Kumbilamoto amewaasa wafanyabiashara kufanya biashara kwa kutumia mitandao ikiwa na lengo kukuza biashara zao. Ameyasema hayo leo Mei 2, 2024, alipoakizindua duka la simu…
SMZ yatenga bilioni 34 posho ya nauli kwa wafanyakazi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa wafanyakazi wa SMZ wataongezewa posho ya shilingi 50,000 ya nauli ili kuleta ufanisi katika kazi na kurahisisha masuala ya usafiri kwa…
Mei Mosi ni siku ya tafakuri kwa watumishi – Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI) ambayo huadhimishwa kila mwaka ni siku maalum kwa ajili ya wafanyakazi kutafakari na kutathmini namna walivyotekeleza malengo waliyojiwekea katika mwaka husika. Amesema kuwa siku hiyo inatoa fursa kwa wafanyakazi…
LPG yapongeza Serikali kwa juhudi ya kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi
Na Magrethy Katengu, JamuhuriMediaDar es Salaam Chama Wafanyabiashara Waagizani na Wasambazaji wa gesi ya kupikia Majumbani LPG kimeipongeza Serikali kwa juhudi wanayoifanya kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi wake wenye kipato cha chini ikiwemo mama na baba lishe, ili kusaidia…
Masauni,IGP Wambura waahidi uchaguzi huru na haki Serikali za Mitaa, Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu, Jamuhuri Media Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imewaahidi Watanzania kuwepo kwa uchaguzi huru na haki ikiwemo uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu pamoja na Uchaguzi Mkuu mwakani huku ikisisitiza kila mtu…
DC Tarime ampa tano mbunge Tarime Vijijini Waitara kwa ubunifu
Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Mkuu wa Wilaya Tarime, Kanali Maulidi Hassan Surumbu amempongeza Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara kwa kubuni semina ya maendeleo ya matokeo ya sensa 2022 ambayo ilishirikisha watu zaidi ya 1600 kutoka makundi…