JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

LHRC watoa msaada wa kisheria bure Singida

Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Singida KITUO cha Sheria na Haki za Binaadamu (LHRC) kimeanza kutoa bure ushauri wa kisheria kwa wananchi wa mkoa wa Singida. Akizungumza na waandishi wa habari,Wakili Hamis Mayombo amesema zoezi hilo ambalo limeanza jumatatu wiki hii litakuwa la…

Ruvuma yafanikiwa kutoa chanjo ya Polio kwa asilimia 122.2

MKOA wa Ruvuma umefanikiwa kutoa chanjo ya polio kwa Watoto 398,029 sawa na asilimia 122.2. Katibu Tawala Msaidizi ,Huduma za Afya,Lishe na Ustawi wa Jamii Mkoani Ruvuma Dr.Lous Chomboko amesema Mkoa ulilenga kuchanja Watoto 325,746 katika awamu ya tatu ya…

CSSC kupitia mradi wa Tuwekeze Afya kwenye makanisa waleta mafanikio

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Shirika la Christian Social Services Commission (CSSC), kupitia mradi wa Pamoja Tuwekeze Afya unaolenga kuwezesha vituo vya afya vya makanisa kujiimarisha na kujiendesha kiuendelevu kupitia mapato ya ndani umeleta mafanikio mbalimbali ikiwemo kuongeza wateja kwa asilimia 22…