Category: Habari Mpya
Bil.1.7/- za UVIKO-19 kukamilisha mradi wa jengo la madarasa
Fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19 zaidi ya bilioni 1.7 imewezesha kukamilishwa kwa Mradi wa jengo la madarasa, maabara na ofisi katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Akitoa taarifa ya utekelezaji…
Wizara ya Maliasili na Utalii kujenga makumbusho ya marais Dodoma
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imeanza maandalizi ya ujenzi wa Makumbusho kubwa ya Marais wa Tanzania Jijini Dodoma kwa lengo la kuhifadhi Urithi wa mchango mkubwa walioutoa na unaoendelea kutolewa. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maliasili na…
Rais Samia amlilia Malkia Elizabeth II
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesikitishwa na kifo cha Malikia Elizaberth II wa nchini Uingereza, kilichotokea jana Alhamisi Septemba 8, 2022 katika visiwa vya Balmoral nchini Scotland alipokuwa anapatiwa matibabu. Katika ukurasa wake wa Twitter, Rais Samia ameandika, “Nimesikitishwa…
Wasifu wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza
Elizabeth Alexandra Mary Windsor alizaliwa mnamo Aprili 21,1926, katika jumba lililokuwa karibu na Berkeley Square jijini London. Alikuwa kifungua mimba wa Albert, Mwanamfalme Mtawala wa York, aliyekuwa mwana wa pili wa kiume wa George V, na mkewe ambaye zamani alifahamika…