Category: Habari Mpya
Waziri Aweso amsimamisha kazi meneja RUWASA Karagwe
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Karagwe Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha Kazi Meneja wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijini RUWASA Wilaya Karagwe, Mhandisi Magai Kakuru kwa kushindwa kusimamia miradi ya Maji inayoendelea kutekelezwa Wilayani Karagwe. Ametoa agizo hilo Septemba…
Ruvuma ina ziada ya chakula tani 787,190
Albano Midelo,JamhuriMedia, Songea Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas ameyataja mahitaji ya chakula mkoani Ruvuma kwa msimu wa mwaka 2022/2023 ni tani 469,172 na kuufanya Mkoa kuwa na ziada ya chakula tani 787,190. Hata hivyo amesema chakula ambacho…
Maarifa ya asili yasaidia uhifadhi wa misitu Loliondo
Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Loliondo Matumizi ya maarifa ya asili katika uhifadhi wa misitu, vyanzo vya maji na mazingira umesaidia jamii ya wafugaji Kata ya Enguserosambu kutoathirika na mabadiliko ya tabia nchi. Wakizungumza na waandishi wa habari waliofika katika Kata hiyo, ,kupitia mradi…
Mradi wa kimkakati bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wakamilika
Mradi wa kimkakati wa ujenzi wa bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa wilayani Nyasa mkoani Ruvuma umekamilika. Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Nyasa ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mheshimiwa Aziza Mangasongo amesema mradi huo umetekelezwa na Kampuni ya…
Bil.1.7/- za UVIKO-19 kukamilisha mradi wa jengo la madarasa
Fedha za Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO 19 zaidi ya bilioni 1.7 imewezesha kukamilishwa kwa Mradi wa jengo la madarasa, maabara na ofisi katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) Akitoa taarifa ya utekelezaji…