JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Bwawa Nyumba ya Mungu kufungwa Machi 2023

Na Kija Elias,JamhuriMedia,Mwanga Wadau wanaoshughulika na uvuvi katika Bwawa la Nyumba ya Mungu wa wilaya za Simanjiro, Moshi Vijijini na Mwanga, wamependekeza kufungwa kwa Bwawa hilo kwa kipindi cha miezi mitatu kutokana na kukithiri kwa uvuvi haramu. Uamuzi wa kufungwa…

TCRA:Kuna ongezeko kubwa la watumiaji huduma za kifedha mtandaoni

•Asilimia 41 hutumia huduma za kifedha kwa mtandao Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Matarajio ya Tanzania kujenga uchumi jumuishi yanaonyesha nuru baada ya takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuonyesha ongezeko kubwa la watumiaji wa huduma za kifedha…

Balaa Magomeni Kota

Na Alex Kazenga,JamhuriMedia, Dar Licha ya ahadi ya serikali ya kuwapa kipaumbele wakazi ‘asilia’ wa Magomeni Kota kupata makazi katika majengo ya kisasa, takriban familia 21 zimetoswa; JAMHURI limebaini. Familia hizo ni miongoni mwa 644 zilizolazimika kulihama eneo la Magomeni…

Vikundi 129 va Manispaa ya Tabora vyakopeshwa mil.685.5/-

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora Halmashauri ya Manispaa Tabora imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 685.5 kwa vikundi 129 vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kipindi cha mwaka wa fedha 2021/2022. Hayo yamebainishwa juzi na Mkurugezi Mtendaji wa Manispaa…

Msigwa:Watanzania tunzeni miundombinu ya majitaka

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amewataka Watanzania kulinda miundombinu ya majitaka iliyojengwa kwa gharama kubwa na Serikali. Msigwa amesema hayo jana, Septemba 13, 2022 alipotembelea mradi wa mabwawa ya kutibu majitaka unaosimamiwa…

Mwanafunzi kidato cha tatu ajiua kwa kujipiga risasi

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Kilimanjaro Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari St.Mary Goreti iliyopo Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro Robert Meier (17), amejiua kwa kujipiga risasi na kuacha ujumbe mwili wake uchomwe. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,…