JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Mtandao wa wabunge wa kupambana na rushwa Afrika kushirikiana na TAKUKURU

Na James Mwanamyoto,JamhuriMedia,Dodoma Makamu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wabunge wa Kupambana na Rushwa Afrika tawi la Tanzania (APNAC) Mhe. Cecilia Pareso (Mb) amesema mtandao wao utashirikiana kikamilifu na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) katika mapambano dhidi…

Operesheni Maalumu yawanasa 100 Temeke

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dar Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema kuwa hatokubali wilaya yake iingie katika dosari kutokana na baadhi ya watendaji wasioowaminifu kushindwa kutoa ushirikiano katika msako mkali unaoendelea jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo Septemba 16,2022,Jokate…

Wachangishwa 60,000/ kwa kila kaya ili kujenga zahanati, RC aingilia kati

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Simanjiro Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Charles Makongoro Nyerere ameiagiza Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) kuchunguza mashamba yaliyouzwa na kugawanywa kwa wananchi na kuchangishwa sh60,000 kila kaya kwa ajili ya ujenzi wa zahanati. Makongoro akizungumza na…

Waziri:Utaratibu wa kuoa au kuolewa ni miaka sita JWTZ

Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imesema haina mpango wa kubadili utaratibu uliowekwa kwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kukaa miaka sita bila kuoa ama kuolewa mara baada ya kujiunga na jeshi hilo. Waziri wa Ulinzi…

Halmashauri zatakiwa kuainisha maeneo ujenzi wa vituo vya afya

Na Asila Twaha,JamhuriMedia,Dodoma Serikali imezielekeza Halmashauri zote nchini kuanisha maeneo ya kimkakati ili ujenzi wa vituo vya afya vijengwe katika maeneo hayo na kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala…