JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Washindwa kwenda shule kuhofia kuliwa na tembo

Na Kija Elias,JamhuriMedia,Same Wanafunzi wa shule ya Sekondari Makokane iliyopo Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kwenda shule kutokana na makundi ya tembo kuingia katika kijiji hicho yakitafuta maji. Kufuatia hali hiyo Wananchi wa kijiji hicho, wamelazimika kuyakimbia makazi yao…

BREAKING NEWS: Polisi yaua sita ‘Panya Road’ katika mapambano makali

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, limefanikiwa kuwaua wahalifu sita maarufu kama ‘Panya Road’ waliokuwa wakielekea eneo la Goba kufanya uhalifu jana. Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum, Jumanne Muliro amesema hayo leo 18,2022, wakati akizungumza na waandishi…

Upatikanaji chakula shuleni kuongeza afya ya akili

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imesema kuwa ili kupata matokeo mazuri ya elimu ni lazima kuhakikisha upatikanaji wa lishe bora shuleni ili kuwajengea wanafunzi afya bora na kupata utulivu wa akili wawapo madarasani. Akizungumza jijini…

Daktari mbaroni atumia jina la Lukuvi utapeli

Na Kija Elias,JamhuriMedia,Moshi Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro limemtia mbaroni Dk. Wilson Solly kwa tuhuma za kuwatapeli malimilioni ye fedha vijana zaidi ya 76 kutoka mikoa mbalimbali kwa kutumia jina la aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi William Lukuvi….