Category: Habari Mpya
Serikali yasikia kilio cha Watanzania, yafuta tozo
…………………………………………….. Mheshimiwa Spika, itakumbukwa kuwa, katika mwaka wa fedha 2021/22, Sheria ya Malipo ya Taifa, Sura na. 437 (National Payment System Act, Cap. 437) ilifanyiwa marekebisho kupitia Sheria ya Fedha ya mwaka 2021 na kuanzisha tozo ya miamala ya kutuma…
TAKUKURU watakiwa kuifanyia kazi ripoti ya CAG
Na Kija Elias,JamhuriMedia,Moshi NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Deogratius Ndejembi, amewataka maafisa wa Takukuru nchini kuhakikisha kwamba ripoti ya ukaguzi iliyofanywa na CAG na kukabidhiwa kwao inafanyiwa kazi haraka iwezekanavyo….
BASATA: Hatupo kwa ajili ya kufungia kazi ya msanii
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),limewakumbusha wasanii kuwa hawana lengo la kufungia kazi ya msanii bali wapo Kwa ajili ya kuzungumza na kurekebisha kazi ili kuikuza tasnia ya Sanaa kwa mapana. Akizungumza kauli hiyo Katibu Mtendaji wa…
‘Panya road’ 135 wakamatwa,runinga 23 zikiwemo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC),Amos Makala amesema kuwa katika operesheni imewakamata wahalifu 135 pamoja na vitu mbalimbali vya wizi ikiwemo runinga 23. Akizungumza leo Septemba 19, 2022 jijini Dar es Salaam, amesema kuwa watuhumiwa hao wamekamatwa katika…
Global Fund yaunga mkono Serikali kukabiliana na magonjwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu amekutana na kufanya mazungumzo na Meneja Mkaguzi kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Kupiga Vita UKIMWI, TB na Malaria (GLOBAL FUND), Andrew Hammond ofisini kwake jijini…