Category: Habari Mpya
Serikali yaweka mikakati kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani
. ……………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji wote Serikalini kuweka mkakati wa kudhibiti viashiria vyote vya uvunjifu wa amani katika maeneo yao. Majaliwa amesema lengo la agizo ni kusisitiza utekelezwaji wa maono na dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan…
Mkumbo awaonyesha njia wadau wa habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mbunge wa Jimbo la Ubungo,Kitila Mkumbo amewashauri wadau wa habari kueleza hoja zenye tija kuhusiana na kupendekeza kwa baadhi ya vifungu vya sheria ya habari kuomba kubadilishwa. Mkumbo ameyasema hayo jijini Dodoma alipozungumza na mwandishi wa habari…
Makamu wa Rais akihutubia mkutano wa elimu Umoja wa Mataifa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema katika kuelekea mwaka 2030, mataifa yanapaswa kujitoa upya na kuazimia kuongeza uwekezaji zaidi katika sekta ya elimu kwa nia ya kuhakikisha Watoto wanapata elimu iliyo bora na…
Masauni amteua IGP Mstafu Mwema kuwa mwenyekiti wa bodi ya Magereza
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mhandisi Hamad Masauni (Mb), kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 2 cha Amri ya Uanzishwaji wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali ya Magereza, iliyofanyiwa Marekebisho Mwaka 2022 (The Prisons Corporation…
Serikali: Mchakato Mabadiliko Sheria ya Habari haujakwama
Na Mwandishi Wetu,JahuriMedia Serikali imeeleza kuwa, mchakato wa marekebisho ya sheria zinazosimamia sekta yahabari haujakwama. Kauli hiyo imetolewa na Gerson Msigwa, Msemaji wa Serikali alipozungungumza na mwandishi wa habari hii kuhusu maendeleo ya mchakato huo, tangu kufanyika kikao cha kwanza…