JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Hawa ndio wawakilishi wa Tanzania Bunge la Afrika Mashariki

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson leo Septemba 22,2022 amewatangaza washindi tisa walioibuka na ushindi kwenye uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki (EALA), kati ya wagombea 20 uliofanyika bungeni, jijini Dodoma Akitangaza Majina ya…

Kiingereza cha Msukuma chazua gumzo

Kiingereza cha mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku maarufuku ‘Msukuma’ kimezua gumzo mitandaoni baada ya mbunge huyo kumuuliza swali mgombea wa ubunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (Eala), Habid Mnyaa. Gumzo hizo zimeanzia bungeni baada ya kupewa nafasi ya kuuliza…

Unyama!Mume amuua mke na kumtumbukiza kisimani

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Tabora JESHI la Polisi Mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kata ya Ndevelwa, katika Halmashauri ya Manispaa Tabora, kwa tuhuma za kumuua mke wake, aliyetambulika kwa jina la Mariam Yusuph, kwa kumpiga na…

TMA yatoa angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),imetoa angalizo la upepo mkali unaofikia kilomita 40 kwa saa kwa baadhi ya maeneo ya Ziwa Nyasa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA imesema kuwa tahadhari hiyo inaanza leo huku…

Akamatwa akisafirisha gunia 10 za mirungi

Na Abel Paul,JamhuriMedia,Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, limefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mmoja anayesafirisha madawa ya kulevya aina mirungi katika Jiji la Arusha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishina wa msaidizi wa Polisi ACP ,Justine Masejo, amesema kuwa Septemba…