Category: Habari Mpya
Kamati ya kushughulikia migogoro ya ardhi kuanza kazi Jumatatu Dodoma
Na Munir Shemweta,JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya kushughulikia migogoro ya ardhi iliyoundwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Allan Kijazi itaendelea kutatua changamoto za ardhi katika mkoa wa Dodoma kuanzia Septemba 26 hadi 30, mwaka…
KOFIH yaipiga mjeki Mlongazila vifaa tiba
Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila imepokea msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya TZS 382,650,980 Mil kutoka serikali ya Korea Kusini kupitia Taasisi ya Korea Foundation for Health Care (KOFIH) vitakavyotumika kuboresha utoaji wa huduma katika wodi ya watoto wachanga…
ACT-Wazalendo: Tunahitaji mradi wa bomba la mafuta uendelee
CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelitaka Bunge la Ulaya kuondoa azimio la kutaka kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga. Msemaji wa Sekta ya Madini katika chama hicho, Isihaka…
Rais Samia aidhinisha bilioni 150/- za ruzuku ya mbolea
Waziri Mkuuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 150 kutumika kwa ajili ya ruzuku ya mbolea ili kuwezesha upatikanaji wa bidhaa hiyo kwa wingi na kwa gharama nafuu. Majaliwa amesema katika msimu wa 2022/2023, utoaji wa…