Category: Habari Mpya
Madaktari 1,109 kunufaika na ufadhili wa Rais Samia masomo ya ubingwa bobezi 2023/24
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Dkt. Samia Super-Specialized scholarship Programme imetoa nafasi za ufadhili wa masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi ambapo kwa mwaka wa masomo 2023/2024, jumla ya Shilingi 10.9 bilioni zimetengwa na kuwawezesha wanafunzi 1,109 kwenye…
Miaka mitatu ya Rais Samia Mwakiposa afunguka
Na Mwandishi Wetu, JamuhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekii wa Mtaa wa Dovya Kata ya Bunju Manispaa ya Kinondoni Anasisye Lazarus Mwakiposa amesema kuwa miaka Mitatu ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan Mtaa huo umetekeleza Vyema Ilani ya Chama Cha…
TMA yatoa tahadhari uwepo mgandamizo wa upepo
Na Mwandishi wetu,JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema kuna uwezekano wa kutokea kwa Kimbunga kamili hadi kufikia kesho tarehe 2 Mei 2024 kutokana na uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi…
Serikali kuendelea kuboresha huduma za saratani nchini – Dk Biteko
📌 Azindua Kituo cha Matibabu ya Saratani cha Aga Khan 📌 Ataka utoaji huduma usiwe wa kibaguzi 📌 Aelekeza Aga Khan kushirikiana na Taasisi ya Ocean Road kutoa huduma za mionzi 📌 Dkt. Samia atoa sh. Bilioni 10 kusomesha Madaktari…
Wizara ya Kilimo kuongeza ajira zenye staha kupunguza umaskini
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Kilimo kwa Mwaka 2024/2025, amesema wizara yake itaendelea kuwezesha upatikanaji wa ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye…