JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Wananchi watakiwa kuchukua tahadhari mlipuko wa Ebola

Wananchi wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya mlipuko wa janga la Ebola ambao unaripotiwa kutokea nchi jirani ya Uganda huku wakitakiwa kuondokana na safari zisizo za lazima ili kuepukana na ugonjwa huo. Hayo yamesemwa jijini Arusha na Rais wa Chama cha…

RC Shigela:Akagua mradi wa ujenzi wa hospitali,aipongeza TBA

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Geita Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martin Shigela amefanya ziara ya Kutembelea na kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda – Chato ambao unatekelezwa kwa awamu. Akizungumza mara baada kukagua mradi huo…

NHC lajipanga kutekeleza mradi wa Samia Housing Scheme

Shirika la Nyumba la Taifa limejipanga kutekeleza mradi wa Samia Housing Scheme unaotarajia kujenga nyumba zaidi ya 5000 na kuzalisha ajira zaidi ya Elfu Ishirini na Sita. Hayo yameelezwa na Daniel Kure Afisa Mauzo na Masoko Mwandamizi kutoka Shirika la…

DC Mangoso akemea walimu kuwa na mahusiano na wanafunzi

Na Muhidin Amri,JamhuriMedia,Mbinga Mkuu wa Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Aziza Mangosongo,amezindua miongozo ya usimamizi na uendeshaji wa elimu huku akikemea tabia ya baadhi ya walimu wa kiume kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi wao. Mangosongo amesema,tabia hiyo imechangia…

Serikali yatambulisha mradi wa mazingira

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Andrew Komba amesema Mamlaka za Serikali za Mitaa zitaongezewa uwezo wa kutambua na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi katika maeneo yao. Amesema hayo wakati wa kikao…