Category: Habari Mpya
Bei ya mafuta ya petroli yapungua
Bei ya mafuta ya petroli na dizeli ya mwezi Oktoba imepungua ambapo kwa Mkoa wa Dar es Salaam petroli itauzwa kwa Sh.2886 huku dizeli ikiuzwa kwa Sh. 3,083 kwa bei ya rejareja Kwa mkoa wa Tanga Petrol itauzwa 2,924 na…
Amchoma moto mwanaye kwa kudokoa mboga
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mtwara Mkazi wa Kijijii cha Namanjele mkoani Mtwara,Somoe Mohamed anatuhumiwa kumchoma moto mtoto wake wa umri wa miaka mitano kwa madai ya kudokoa mboga. Kwa mujibu wa majirani (jina linahifadhiwa),amesema kuwa wakati akiendelea kufua nyumbani kwake alisikia kilio…
Wanaume wapigana na kuuana kwa kugombea mwanamke
Wanaume wawili ambao ni wakazi wa Kijiji cha Mkangaula , Kata ya Namalenga wilayani Masasi mkoani Mtwara wameuana kwa kupigana kwa kutumia magongo kwa kugombea mwanamke ambaye kila mmoja alidai ni mpenzi wake. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa…
Dola Bilioni 19.2 kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi
Serikali imesema takribani dola 19.2 za kimarekani zitatumika katika kutekeleza Mpango wa Taifa wa Kukabiliana na mabadiliko tabianchi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt.Selemani Saidi Jafo amesema hayo jana Oktoba 3,2022 katika kikao cha…
Mwanamke ahukumiwa kwenda jela maisha
Shani Suleiman (35),mkazi wa Morogoro Mjini amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kubaka mtoto wa miaka 12. Hukumu hiyo imetolewa Septemba 28, 2022 katika Mahakaka ya Rufani Tanzania baada ya mahakama kuthibitisha bila mashaka licha ya mtumiwa kukata…